WAP Groups
Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com

Mchongoano - Topics
Create Your Own App Store

* Mchongoano > Topics


Subject: Mchongoano
Replies: 29 Views: 9917

panchy 12.09.08 - 10:31am
Shosho yako ni mshanba alienda kuby balgum.akapewa ya grin lakini akarudisha akidai anataka yenye imeiva *

123kevo 25.12.08 - 07:59am
Shosho ni mzee hadi akikunyua fanta an*lewa.. *

123kevo 25.12.08 - 08:03am
Shosho yako ni mzee naskia alizaliwa rainbow ikiwa black n white.. *

panchy 25.12.08 - 08:16am
Shosho yako ni mze hadi matiti zake zinajiandika 'no milk' *

panchy 25.12.08 - 08:19am
Wewe ni mrefu hadi ukikunywa maziwa inafika kwa tumbo maziwa mala *

123kevo 25.12.08 - 09:30am
Manzi yako ni mkonda badala ya kutumia always(pads) ye hutumia elastoplast *

123kevo 25.12.08 - 01:46pm
We ni mjinga hadi naskia uli repeat baby care.. *

123kevo 25.12.08 - 01:51pm
Nyumba yenyu ni ndogo hadi inakubidi utoke inje indio uweze kuchange mind.. *

123kevo 25.12.08 - 01:54pm
Ati we ni mweusi hadi ukipigwa photo inadai scratch 2 reveal.. *

panchy 25.12.08 - 06:38pm
Manzi yako ni mnono hadi akivaa belt ya yellow,wasee hudhani ni matatu *

panchy 25.12.08 - 07:03pm
Wewe ni mweusi hadi mosquito ikitaka kukuuma inakumulika na torch *

panchy 25.12.08 - 07:08pm
Nyinyi wengi hadi mna roundabout na traffic lights kucontrol trafic flow kwa nyumba *

panchy 25.12.08 - 07:13pm
Nyinyi ni wengi mkitaka kupika chapo nyimyi hupika moja halafu mnatoa photocopy kadha *

123kevo 26.12.08 - 01:40pm
Nyumba yenu ni refu hadi ikona ma hawkers kwa koridos *

panchy 26.12.08 - 03:31pm
Nyumba yenu ni kubwa hadi nyinyi hutumia bodaboda kuchange rooms *

01kevo 26.12.08 - 08:34pm
Kwenyu mumezaliwa wengi mbaka last born wenyu anaitwa 'tosha' *

anto20 26.12.08 - 11:57pm
Dame yako ni mskinny hadi ukimmanga unapata blisters kwa di*k *

tipis 27.12.08 - 04:26pm
We ni mkonde mpaka unanuka damu.. We ni mjinga mpaka unafail blood test.. *

zackey 28.12.08 - 07:21am
We ni mweusi mpaka ukimbeba mtoto mchana an*lala akifikiria ni usiku *

lilzi 28.12.08 - 04:12pm
Ati wewe ni giza sana ukisimama kwa wall wasee wanadhani ni space ya mlango *

panchy 28.12.08 - 09:12pm
Wewe ni mkonde hadi ukilean kwa wall watu wanathani ni crack *

wampapa 29.12.08 - 08:25pm
We ni thwack hadi ulienda kwa zoo chimp ikakupatia banana *

d.south 31.12.08 - 10:12am
Wewe ni mjinga mpaka unaandika zero upside down. hehe.GIF *

anto20 7.01.09 - 10:28pm
Kwenu mumeendelea mpaka mko na stove ya motorola *

asnie 2.03.09 - 08:31am
Manzi yako ni mshot hadi wee humpiga munju kama lolipop. *

muokis 13.05.09 - 07:46pm
Nyinyi ni gamu hadi mkivamiwa na wagondi mnadial *130*999 *

alekii 25.06.09 - 01:55am
hey guys join ma group 4 more than 120 mchongoanos.anywe ati we ni mjinga mpaka unapelekwa boarding sunday school *

boyz3 26.05.11 - 06:26pm
eti we ni mkode hadi ukipigwa picha inahata *

ayieeya 9.07.11 - 08:51am
Kevo manzi yako ana tumbo kubwa hadi akitaka kutema mate anatumia straw. *

wamuthee 1.08.11 - 06:55am
Wewe ni tall hadi una season migration ya minyoo *


* Reply
* Mchongoano Forum


Search:
topics replies


* Mchongoano

Create Your Own App Store

topTop
groupsGroups
mainProdigits

Custom Search


Create Your Own App Store